Nafasi Ya Matangazo

January 06, 2023

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma, Januari 06, 2023.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akikagua milango katika hospitali ya wilaya ya Namtumbo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma, Januari 06, 2023. Mheshimiwa Majaliwa Oktoba 18, 2022 alitembelea hospitalini hapo na kuagiza kasoro zilizopo ikiwemo milango 10 iondolewe na kuwekwa mingine yenye viwango ifikapo Januari 4, 2023.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya Ujenzi katika hospitali ya wilaya ya Namtumbo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma, Januari 06, 2023. Mheshimiwa Majaliwa Oktoba 18, 2022, wakati alipotembelea hospitalini hapo na kuagiza kasoro zilizopo ikiwemo milango 10 iondolewe na kuwekwa mingine yenye viwango ifikapo Januari 4, 2023.

Posted by MROKI On Friday, January 06, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo