Nafasi Ya Matangazo

January 05, 2023

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akirusha mpira golini kuashiria kuyafungua Mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-1-2023, katika mchezo wa ufunguzi  ulizikutanisha Timu za KVZ na Zimamoto na  Timu ya KVZ imeibuka na ushindi wa bao 42-41.

MCHEZAJI wa Timu ya Zimamoto Pendo Adrian Mpela  akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi  na Timu ya KVZ,uliofanyika katika uwanja wa Gmykhana, Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa bao 44 -41.
MCHEZAJI wa Timu ya Zimamoto Tatu Ali Mussa akijiandaa kudaka mpira wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja. Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa bao 44-41.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Zimamoto wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Netiboli Kombe Mapinduzi  uliyofanyika  katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-1-2023.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya KVZ wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Netiboli Kombe Mapinduzi  uliyofanyika  katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-1-2023.

Posted by MROKI On Thursday, January 05, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo