RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “Mwongozo wa Vyombo vya Habari wa Kuandika Habari za Watoto” na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ndg.Yussuf Khamis Yussuf, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-12-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “ Training Manual on Gender and the Media”, na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ndg.Yussuf Khamis Yussuf, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-12-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “State of The Media in Tanzania”, na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ndg.Yussuf Khamis Yussuf, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-12-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bi. Edda Sanga akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) baada ya kumalizika kwa mazungumzo yake na Uongozi wa (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-12-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-12-2022.






0 comments:
Post a Comment