Nafasi Ya Matangazo

November 03, 2022

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi anasikitika kutangaza kifo cha Ndg. Gerald Mwanilwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, kilichotokea tarehe 02 Novemba, 2022 nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu.

Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Goba Dar es Salaam, Ilazo Dodoma na Makorongoni Iringa.

Kwa masikitiko makubwa tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

Posted by MROKI On Thursday, November 03, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo