Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amefunga Mkutano wa Tatu wa Mwaka wa Bodi ya Usajili ya Wathamini na Wathamini uliokua unafanyika Jijini Arusha.Kikwete amewaasa Wathamini kutambua umuhimu wa taalama yao na kulinda maadili.
Aidha amewaambia kutofuata sheria kunaweza sababisha hasara kwa Serikali na Wananchi hivyo kusababisha migogoro isiyo ya lazima.










0 comments:
Post a Comment