Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango
akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya
ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu wa
Ethiopia Mheshimiwa Hailemariam Desalegn, mazungumzo yaliofanyika kando ya
Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda. Tarehe 07 Septemba
2022

2022.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya
Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) ambaye ni Waziri Mkuu
Mstaafu wa Ethiopia Mheshimiwa Hailemariam Desalegn mara baada ya mazungumzo
yao yaliofanyika kando ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.
Tarehe 07 Septemba 2022.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 07 Septemba 2022
amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya ya Mapinduzi
ya Kijani Barani Afrika (AGRA) ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia
Mheshimiwa Hailemariam Desalegn, mazungumzo yaliofanyika kando ya Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

0 comments:
Post a Comment