Nafasi Ya Matangazo

August 22, 2022



Wakati ndio kwanza kumbukumbu ya ajali ya miaka miwili ya ajali ya Moto ya Msamvu Morogoro bado haijafutika ambapo mamia ya watu waliteketea kwa moto baada ya kulipukiwa wakati wakichoya mafuta katika lori lililopata ajali eneo la Msamvu, Leo wakazi wa Gairo nao wamevamia malori mawili ya mafuta yaliyopata ajali eneo la Majiyawanga,Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma. Askari wachache waliopo eneo hilo wanashindwa kuwadhibiti watu hao. 

Watu zaidi ya 100 waliofariki  kutokana na mlipuko wa lori la mafuta Agosti 10,2019 mjini Morogoro na wengine wengi kujeruhiwa. Picha na Mroki Mroki

Posted by MROKI On Monday, August 22, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo