Nafasi Ya Matangazo

February 07, 2022

 

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza  wakati alipoongoza kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa, kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma,  Februari 7 , 2022. Kushoto ni Mkakamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla na kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Pindi Chana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza wakati alipoongoza kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma,  Februari 7, 2022. Kushoto ni Mkakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla na  wa pili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge na Uratibu, Dkt, Pindi Chana na kulia ni  Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. John Jingu.
Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa  akitoa taarifa katika kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa kilichoongozwa na mwenyekiti wa kamati hiyo, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 7, 2022.

Baadhi ya Washiriki wa Kikao cha Kamati  Kuu ya Taifa ya Sensa wakimsikiliza mwenyekiti wao, Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, wakati alipofungua  kikao cha kamati hiyo kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 7, 2021.
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza wakati alipoongoza kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa, kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma,  Februari 7 , 2022. Kushoto ni Mkakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla.
Kamisaa wa Sensa ya watu na makazi ya 2022, Anna Makinda (wapili kushoto) akiwa pamoja na Washiriki wa Kikao cha Kamati  Kuu ya Taifa ya Sensa wakimsikiliza mwenyekiti wao, Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, wakati alipofungua  kikao cha kamati hiyo kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 7, 2021. 
Posted by MROKI On Monday, February 07, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo