Nafasi Ya Matangazo

November 18, 2021

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali, Mke wa Waziri Mstaafu wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, Bora Isack (kulia), ambaye amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Novemba 18, 2021
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza familia ya aliyekua Waziri wa Fedha na Utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na aliyekua Waziri Mstaafu wa Wizara tofauti kwenye awamu ya kwanza na pili, Mzee Al noor Kassum, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Novemba 18, 2021 

Posted by MROKI On Thursday, November 18, 2021 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo