Afisa Mambo ya Kale wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, Godfrey Ole Moita akitoa ufafanuzi kwa wabunge kuhusu maajabu ya mchanga unaohama ukiwa na umbo la mwezi kwa zaidi ya mita 17 kwa mwaka kutokana na kusukumwa na upepo katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiangalia mchanga unaohama ukiwa na umbo la mwezi kwa zaidi ya mita 17 kwa mwaka kutokana na kusukumwa na upepo katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha.Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (wa tatu kulia mstari wa mbela) ilipofanya ziara ya kikazi katika bonde la Olduvai lililopo katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha.







0 comments:
Post a Comment