Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akipiga ngoma kama ishara ya Ufunguzi rasmi wa Tamasha la Nne la
Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika
Mashariki (JAMAFEST) alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungnao wa Tanzania
Dkt. John Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam leo Sept 22,2019.
Baadhi ya Wasanii wa Vikundi vya Sanaa kutoka Nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia kwenye Ufunguzi rasmi wa
Tamasha la Nne la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) alipomuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungnao wa Tanzania Dkt. John Magufuli katika Uwanja wa
Uhuru Jijini Dar es salaam leo Sept 22,2019. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Wageni wakifuatilia ufunguzi
Waghani mashairi wakitoa burudani
Msanii Diamond akitumbuiza
0 comments:
Post a Comment