VIONGOZI mbalimbali Wastaafu na waliopo Madarakani wakiongozwa na Rais Mstaafu Alli Hassan Mwinyi wamepamba harusi ya Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Robert Lowassa na mkewe Stephanie Kaaya.
Ndoa ya wawili hao ilifungwa katika Kanisa la KKKT Usharika wa Mjini Kati na baadae katika tafrija iliyofanyika ukumbi wa Kiringa Gardens, Burka jijini Arusha.
Pichani juu ni Rais Mstaafu Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akiwapongeza Maharusi hao.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akiwapongeza maharusi Robert 'Bob' na Mkewe Stephanie
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe hiyo wakisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.
Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.
Mke wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Edward Lowassa.
Maharusi, Robert Lowassa 'Bob' akifurahia jamabo na mkewe Stephanie Kaaya.
Maharusi, Robert Lowassa 'Bob' akifurahia jamabo na mkewe Stephanie Kaaya.
Maharusi, Robert Lowassa 'Bob' wakiwa katika upigaji picha na mkewe Stephanie Kaaya.
Alama ya Ndoa ya Robert na Stephanie
Mfanyabashara Rostam Aziz akiwasili ukumbini
Maharusi wakiingia ukumbini
Mama Mwinyi na Mama Lowassa wakiingia
0 comments:
Post a Comment