Nafasi Ya Matangazo

May 19, 2019

 MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akimkabidhi msaada wa Baiskeli ya Miguu mitatu (Wheel Chair),Mkazi wa Zomozi-Ubena Mzee Cosmas  Alphonce Chongwe ambaye ni mlemavu wa miguu.
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akimkabidhi msaada wa Baiskeli ya Miguu mitatu (Wheel Chair),Mkazi wa Zomozi-Ubena Mzee Cosmas  Alphonce Chongwe ambaye ni mlemavu wa miguu,leo baada ya Mbunge huyo kumaliza kikao chake alichofanya pamoja na Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM wa Kata ya Ubena-Zomozi,Chalinze.
 Kadi za bima ya afya.
 Fimbo ya kutembelea wasioona.
Ridhiwani amekabidhi msaada wa vifaa mbalimbali ikiwemo mifuko ya saruji 20 kwa ajili ya uanzishwaji ujenzi wa shule ya Msingi katika kitongoji cha Choza,Matofali Elfu tatu,fimbo nne maalum kwa ajili ya walemavu wa macho,Kadi 23 za Afya kwa ajili ya matibabu ya wazee, vyote vikiwa na thamani zaidi ya shilingi Milioni tano.Kuhusu misaada  alisema alioitoa mbunge kuwa ni  sehemu ya utekelezaji wa ahadi za Ilani ya Uchaguzi  na maombi mbalimbali ya wananchi.
  Mbunge wa Chalinze,Ridhwani Kikwete akizungumza
 Mbunge wa Chalinze,Ridhwani Kikwete akizungumza. 
Katika shughuli hiyo pia,Mbunge  alikutana na wanachama mbalimbali wa vikundi vya Maendeleo katika kata hiyo .
Posted by MROKI On Sunday, May 19, 2019 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo