Nafasi Ya Matangazo

December 04, 2018

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Nakhil ya Nchini Dubai, Sheikh.Ali Rashid Lootah, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 3/12/2018.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Al Nakhil ya Nchini Dubai, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo.Sheikh. Ali Rashid Lootah,kulia kwa Sheikh.Ali ni Ndg.Mohammed Rashed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Nakhil ya Dubai, Sheikh. Ali Rashid Lootah, akiwa na Ujumbe wake,Mohammed Rashed na Masoud Mbarouk, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar,leo 3/12/2018.
Posted by MROKI On Tuesday, December 04, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo