Nafasi Ya Matangazo

December 28, 2017

Kamishna wa Secretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold Nsekela akielezea jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu tarehe ya mwisho ya kupokea fomu ya tamko la mali za Viongozi leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu anayeshughulikia Maadili ya Viongozi wa Kisiasi Waziri Kipacha. Viongozi wa Umma wanatakiwa kuwa wamewasilisha fomu za tamko la mali zao kabla ya tarehe 31 Desemba 2017.
Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold Nsekela akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu tarehe ya mwisho ya kupokea fomu za tamko la mali za viongozi leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu anayeshughulikia Maadili ya Viongozi wa Siasi Waziri Kipacha na Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Sekretarieti hiyo Filotheus Manula. Viongozi wa Umma wanatakiwa kuwa wamewasilisha fomu za tamko la mali zao kabla ya tarehe 31 Desemba 2017.
Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Filotheus Manula akisisitiza jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu adhabu anazoweza kupewa kiongozi ambaye atachelewesha kuwasilisha Tamko la maandishi la mali zake leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold Nsekela. Viongozi wa Umma wanatakiwa kuwa wamewasilisha fomu za tamko la mali zao kabla ya tarehe 31 Desemba 2017.
Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold Nsekela (katikati) akipitia sheria ya Maadili ya Viongozi alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu tarehe ya mwisho ya kupokea fomu ya tamko la mali za viongozi leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu anayeshughulikia Maadili ya Viongozi wa Siasi Waziri Kipacha na Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Sekretarieti hiyo Filotheus Manula. Viongozi wa Umma wanatakiwa kuwa wamewasilisha fomu za tamko la mali zao kabla ya tarehe 31 Desemba 2017.
Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold Nsekela akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu tarehe ya mwisho ya kupokea fomu za tamko la mali za viongozi leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu anayeshughulikia Maadili ya Viongozi wa Kisiasa, Waziri Kipacha, Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Sekretarieti hiyo Filotheus Manula na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Rodney Thadeus (kulia).Viongozi wa Umma wanatakiwa kuwa wamewasilisha fomu za tamko la mali zao kabla ya tarehe 31 Desemba 2017.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano baina yao na Kamishna wa Maadili alipokua akitoa ufafanuzi kuhusu mwisho wa kupokea Matamko ya Mali za Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam. Viongozi wa Umma wanatakiwa kuwa wamewasilisha fomu za tamko la mali zao kabla ya tarehe 31 Desemba 2017.(Picha na: Frank Shija)
Posted by MROKI On Thursday, December 28, 2017 1 comment

1 comment:

  1. Haya mbona marudio, yalishazungumzwa katika uongozi uliopita na hapakuwa na la ziada, sijui kwa hali ya sasa.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo