KIKOSI cha Timu ya Tifa ya Tanzania, Taifa Stars kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo wa kuwania kufunzi michuano ya AFCON kwa wachezaji wanaocheza ligi ya ndani dhidi ya Rwanda katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Julai 15,2017.
Wachezaji hao kuanzia mstari wanyuma kushoto ni Mlinda mlango, Aishi Manula, Erasto Nyoni, John Bocco, Nurdin Chona, Salim Mbonde na Nahodha Himid Mao Mkami. Mstari wa Mbele kutoka kushoto ni Shomari Kapombe, Shiza Kichuya, Gadiel Michael, Mzamiru Yassin na Simon Msuva.Picha/Mroki Mroki TSN Digital
Kikosi cha timu ya Rwanda 'Amavubi' katika picha ya pamoja. Waliosimama nyuma kutoka kushoto ni Manzi Thiery, Mukunzi Yannick, Emmanuel Imanishimwe, Barnabe Mubumbyi, Mico Juastin na Nsabimana Aimable. Mstari wa mbele kutoka kulia ni Rucogoza Aimambe, Dominique Nshuti, Marcel Nzazora, Iradukunda Eric na Bizimana Djihad.
kikosi cha Amavubi kikiimba wimbo wa taifa lao
Kikosi cha Timu ya Taifa Stars kiikimba wimbo wa Taifa
Mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela akikagua kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania.
Mgeni rasmi akiwa pamoja na viongozi wengine mbalimbali wa michezo na serikali.
Shiza Kichuya akimtoka mlinzi wa timu ya Amavubi, Rucogoza Aimambe (kushoto) huku Nahodha Himid Mao akijiandaa kutoa msaada.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.
Mlinda mlango wa Amavubi, Marcel Nzazora akipangua moja ya hatari langoni mwake.
Mchezaji wa Taifa Stars, Saimon Msuva akijaribu kumhadaa mlinzi wa Amavubi, Emmanuel Imanishimwe ili aweze kupenya ngome hiyo.
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Rwanda, Dominique Nshuti (kulia) akiwania mpira na mlinzi wa pembeni wa timu ya Tifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Boniface Maganga wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu Michuano ya CHAN ambapo katika mchezo huop uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza jana timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1.
Mchezaji wa Taifa Stars, Saimon Msuva akijaribu kumhadaa mlinzi wa Amavubi, Emmanuel Imanishimwe (kushoto) na Dominique Nshuti ili aweze kupenya ngome hiyo.
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Rwanda, Dominique Nshuti (kulia) akiwania mpira na mlinzi wa pembeni wa timu ya Tifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Boniface Maganga wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu Michuano ya CHAN ambapo katika mchezo huop uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza jana timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1.
Mshambuliaji wa Taifa Stars, John Boko 'Adebayo' akipenya ngome ya Amavubi.
John Bocco alikuwa akiutumia vyema urefu wake kwa kufuata mipira ya juu.
Mzamiri Yassin akifanya vitu vyake.
John Bocco akiwania mpira na Nsabimana Aimable
John Bocco alikuwa mwiba kwa ngome ya Amavubi hapa akiwania mpira wa juu na Manzi Thiery wa Amavubi ya Rwanda.
Kayumba Soter wa Amavubi akijaribu kukaba John Bocco asije fanya mazara langoni mwao.
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Rwanda, Dominique Nshuti (kulia) akijaribu kumtoka mlinzi wa pembeni wa timu ya Tifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Boniface Maganga wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu Michuano ya CHAN ambapo katika mchezo huop uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza jana timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1.
Boniface Maganga wa Taifa Stars alikuwa na kazi ngumu.
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Rwanda, Dominique Nshuti (kulia) akijaribu kumtoka mlinzi wa pembeni wa timu ya Tifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Boniface Maganga wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu Michuano ya CHAN ambapo katika mchezo huop uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza jana timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1.
Heka heka langoni mwa Amavubi
Saimon Msuva akiwania mrira na Emmanuel Imanishimwe.
0 comments:
Post a Comment