Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Ernest Mangu (Kushoto), akiwasili nchini Rwanda, na kupokelewa na
mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini humo, (IGP) Emmanuel K. Gasana
(Kulia) wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja jana, yenye lengo la
kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti
uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina
ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini
(IGP) Ernest Mangu, akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya siku
moja nchini humo jana, yenye lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na
kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya
mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na
Rwanda
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Ernest Mangu (mbele kushoto) akitoa neno mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi
Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, pamoja na ujumbe alioongozana nao
nchini humo jana, katika ziara ya kikazi yenye lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana
na kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo
ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na
Rwanda.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Ernest Mangu (kushoto), akimsikiliza mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la
Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, akitoaneno mbele ya wajumbe kutoka Tanzania (hawapo pichani) IGP
Mangu, yupo nchini Rwanda, kwa ziara ya siku moja yenye lengo la kuimarisha mahusiano,
kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan
maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya
Tanzania na Rwanda.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Ernest Mangu (kushoto), na
mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, wakibadilishana
hati ya makubaliano yenye mkakati wa kuhakikisha nchi zote mbili ya Tanzania na
Rwanda, zinakuwa salama hususan maeneo ya mipakani na hata kwenye barabara zote
zinazotumiwa na wafanyabiashara, IGP Mangu, pamoja na ujumbe wake amefanya
ziara ya kikazi nchini humo jana.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Ernest Mangu (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa mwenyeji wake Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, mara baada ya
kuitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja jana, yenye lengo la kuimarisha
mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na
wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya nchi
zote mbili ya Tanzania na Rwanda. (Picha
zote na Demetrius Njimbwi- Jeshi la Polisi Tanzania)
0 comments:
Post a Comment