Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongoza waombolezaji katika hafla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri
wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini
Dar es salaam. Pamoja naye ni Rais Mstaafu Mze Benjamin Mkapa, Makamu wa
Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe.
Frederick Sumaye Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Mama Salma
Kikwete leo Novemba 10, 2016
Sehemu ya familia ya aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph
Mungai katika hafla ya kuuaga mwili wa marehemy katika ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongoza waombolezaji katika hafla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri
wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini
Dar es salaam. Pamoja naye ni Rais Mstaafu Mze Benjamin Mkapa, Makamu wa
Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe.
Frederick Sumaye Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Mama Salma
Kikwete leo Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na
Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam
leo Novemba 10, 2016. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimfariji Kaka wa marehemu baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa
mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika
ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimfariji mjane wa marehemu baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa
mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika
ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimfariji mtoto wa marehemu, Jimmy Mungai, baada ya kutoa heshima
zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee
Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba
10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimfariji mtoto wa marehemu William Mungai marehemu baada ya kutoa
heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Zamani na
Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam
leo Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
wanafamilia baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa
aliyekuwa Waziri wa Zamani na Mbunge Mzee Joseph Mungai katika ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es salaam leo Novemba 10, 2016
0 comments:
Post a Comment