Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta
alipomtembelea na kumjulia hali jijini Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Samuel
Sitta (katikati) anayeendelea vizuri na matibabu jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mke wa
Mzee Sitta Mama Margaret Sitta.
0 comments:
Post a Comment