Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January
Makamba akiongea na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Bi. Katarina
Rangnitt. Balozi huyo aliambatana na Kamati ya Mazingira na Kilimo ya
Bunge la Sweden.
Sehemu
ya wabunge kutoka Sweden wakifuatilia mazungumzo baina ya Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January Makamba.
Ujumbe huo wa Wabunge ulimtembelea Mh. Waziri na kujadili masuala ya
Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira.
0 comments:
Post a Comment