Warembo wakigawa viwanywaji wakati wa sherehe hiyo.
Read Carpet
Burudani kutoka kwa Hadija Kopa
ZAIDI ya watu mia mashughuri walifika katika
kusherehekea miaka 100 ya nywele za Kiafrika, shughuli hiyo ilifanyika jijini
Dar es Salaam tarehe 15 Agosti Ulikuwa ni uzinduzi wa kipekee.
Na yote ni kuhusu uwezeshaji wa mwanamke wa
Kiafrika. Mandhari ya shughuli hii ilikuwa ni "Kila ndoto ni halali"
Usiridhie Darling Group, kama kiongozi wa soko la nywele na biashara za huduma
ya nywele Afrika , walitambulisha bidhaa zao mbalimbali za Aliyana professional
kwa watengeneza nywele wote nchini Tanzania.
Tukio hilo pia lilipambwa na wanamitindo mahili
wa Tanzania Wakati maonesho ya mavazi yakiendelea, wageni walitambuliswa
mfululizo za bidhaa za nywele za Aliyana Professional Shine na Aliyana
Professional enrich zenye ubora wa hali ya juu katika kuimarisha nywele.
Wanamtindo walipewa nafasi ya kuingiliana na
watengeneza nywele hodari ambao Tanzania inaweza kujivunia nao. Tukio hilo
lilibarikiwa na uwepo wa mwakilishi wa Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo
Mhe. Nape Nnauye.
Ambaye ni Mkurungenzi Idara Ya Sanaa na
Utamaduni, Leah Kihimbi. Mwakilishi mwandamizi wa kampuni hiyo hapa Tanzania,
alizungumza kuhusu kundi hilo changa la Godrej Group lenye miaka 119 likiwa na
uongezeko la uwepo wake barani Afrika, Amerika ya Kusini, na Asia.
Kundi hilo la Godrej Group ni wamiliki wa
Darling Group katika nchi 14 za Afrika, ambapo Darling ni kiongozi wa soko la
nywele na huduma za nywele. Msemaji wa kampuni hiyo aliwakaribisha wageni
waalikwa kuwa sehemu ya safari hii ya kusisimua nchini Tanzania, sababu bidhaa
mbalimbali za Aliyana Professional ni kutoka katika uimara huo.
0 comments:
Post a Comment