Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwn Sunil Colaso
akiwa na waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda kabla ya kuingia sokoni
kupeleka huduma ya facebook bure kwa wateja na watanzania kwa ujumla. Airtel
wiki hii ilizindua huduma ya facebook bure inayowawezesha wateja wake
kuunganishwa na ndugu jamaa na marafiki bure bila kuwa na haja ya kununua
kifurushi chochote
Helikopta maalum ikiruka angani na kusambaza
ujumbe wa huduma ya facebook bure kwa wateja wa Airtel na watanzania ili
kuwawezesha kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki na kuendesha shughuli
za kijamii, uchumi kupitia huduma ya facebook bila gharama yeyote
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwn Sunil Colaso
akinyanyua bendera kuwaruhusu waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda kuingia
sokoni na kupeleka huduma ya facebook bure kwa wateja na watanzania kwa ujumla.
Safari ikianza
0 comments:
Post a Comment