Wafanyakazi wa Hoteli ya Serena wakishiriki kupaka rangi
Wafanyakzi wa Kampuni ya Montage wakishiriki kupaka rangi katika jengo hilo.
Mratibu wa kituo cha MTC Bw.Issa Buzohela akielezea jambo wakati ugeni huo ulipotembelea kwenye darasa la vijana wanaojifunza ufundi seremala kituoni hapo. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Hawa ni wanafunzi wanaojifunza kushona nguo kutuoni hapo wakiendelea na mafunzo.
Ugeni huo ukishuhudia jinsi wanafunzi hao wanavyojifunza kushona nguo.
Kituo hiki pia kinatoa mafunzo ya kuzima moto na uokoaji haoa wanafunzi wakiwa tayari wamevalia ngua maalum kwa ajili ya kuokoa mtu aliyenasa kwenye jengo refu linalowaka moto.
Nguzo hii ya chuma ni mfano wa jengo na mtu aliyenasa yuko juu hivyo wanafanya kazi ya kumuokoa.
Tayari wanamshusha kwa kutumia Machela, kamba, na ngazi kama inyoonekana katika picha
Wanaendelea kushusha chini.
0 comments:
Post a Comment