Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )January
Makamba(MB) akisalimiana na wakazi wa Bumbuli mkoani Tanga baada ya kuwasili
katika viunga vya Chuo cha Biblia Vuga kwaajili ya kutunuku vyeti kwa wahimu.
Kabla ya kutunuku
vyeti hivyo Makamba, alipata fursa ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo
chuoni hapo na kupata historia ya chuo. Pia aliupongeza uongozi wa chuo
kwa kutoa elimu mbali mbali kwa wananchi waishio karibu na chuo na bumbuli kwa
ujumla.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )January
Makamba(MB) akisalimiana na wakazi wa Bumbuli mkoani Tanga baada ya kuwasili
katika viunga vya Chuo cha Biblia Vuga kwaajili ya kutunuku vyeti kwa wahimu.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )January
Makamba kijifunza namna ya utengenezaji wa Mizinga ya nyuki kwa kutumia udongo wa
mfanyanzi,mizinga hiyo inauwezo wa kudumu miaka 80-100.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )January Makamba akielezwa historia ya chuo kwa kuoneshwa picha. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira ) January Makamba Akitazama baadhi ya kazi za mikono za kikundi cha wakina mama wa Upendo,kikundi
hicho kimepata mafunzo chuoni hapo.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )January Makamba akizungumza na hadhara ya chuo cha Vuga
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )January Makamba akipokea zawadi kutoka kwa akina mama
Akitunuku vyeti kwa wahitimu.
0 comments:
Post a Comment