Maofisa Mawasiliano wa Wizara ya Fedha na Mipango wakihuisha Blog ya Hazina katika kikao kazi kilichofanyika Hazina Ndogo mjini Dodoma leo, ambapo pia waliwashirikisha baadhi ya mablogger maarufu na watalaam wa tehama.
Mdau wa mitandao ya kijamii kutoka Michuzi Media Group, Ahmad Michuzi akielekeza jambo wakati kikao kazi hizo cha kuhuisha Blogu ya Wizara ya Fedha na Mipango HAZINA BLOG leo.
Sasa mtuwekee habari moto moto zihusuzo fedha, wastaafu n.k
ReplyDelete