Nafasi Ya Matangazo

April 02, 2016

Kaimu Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited  (IPTL) na Pan African Power Solutions (T) Limited Bwn. Joseph O. R. Makandege (katikati), akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu taarifa ya upotoshaji iliyochapishwa na gazeti la MwanaHALISI ikihusisha IPTL kutoa rushwa kwa viongozi waandamizi wa ikulu na watendaji waandamizi wengine serikalini. Kulia ni Mkurugenzi wa uendeshaji wa IPTL Bwn. Parthiban Chandrasakaran na kushoto ni msaidizi wa mwenyekiti mtendaji Bwn. Rajiv Bhesania. 
Posted by MROKI On Saturday, April 02, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo