Mwendesha mitambo ya Upishi wa vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) James Mruma akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Chuo cha Air Tanzania Training Institute (ATCL) ,wanaosoma kozi ya kutoa huduma ndani ya ndege (Cabin Crew) wakati walipotembelea katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar es Salaam jana kwa ziara ya mafunzo ya usalama wa abiria pamoja na Afya zao.
Mwendesha mitambo ya Upishi
wa vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) James
Mruma akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Chuo cha Air Tanzania
Training Institute (ATCL) ,wanaosoma kozi ya
kutoa huduma ndani ya ndege (Cabin Crew) wakati walipotembelea
katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar es Salaam jana kwa ziara ya mafunzo ya
usalama wa abiria pamoja na Afya zao.
Wanafunzi wa Chuo
cha Air Tanzania Training Institute (ATCL) , Kiongozi
wa timu ya upishi vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda cha Bia Tanzania( TBL)
Andrew Mugasha wakati walipofanya ziara ya mafunzo katika
kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar es Salaam.
Mtaalamu wa kuzalisha bia
katika kiwanda cha TBL , Emmanuel Sawe akitoa maelezo kwa wanafuzi wa Chuo cha
Air Tanzania Training wakati walipofanya ziara ya mafunzo kiwandani hapo jana.
Kiongozi Mkuu wa
Wafanyakazi wa Ndege wa Shirika la ATCL, Margaret Makwaia akimuuliza
swali Mpishi wa bia,Jastino Jekela (kushoto) juu ya uzalishaji wa vinywaji
vinavyozalishwa na Tbl wakati wa ziara ya mafunzo.
Mpishi wa bia,Jastino Jekela akielezea namna uzalishaji wa vinywaji vinavyozalishwa na Tbl unavyofanyika wakati wa ziara ya mafunzo.
Baadhi ya wanafuzi
wa Chuo cha Air Tanzania Training Institute (ATCL), wakiangalia picha katika simu zao.
0 comments:
Post a Comment