Nafasi Ya Matangazo

March 15, 2016

Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha(katikati)akimsikiliza Meneja wa Vifungashio(Packaging Manager) wa kiwanda cha TBLmkoa wa Arusha,Joseph Mwaikasu katika ziara aliyoifanya kiwandani hapo,kulia ni Katibu wa Naibu Waziri Jeremia Temu
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha (kushoto) akimsikiliza Meneja wa Kiwanda cha TBL cha Arusha, Mhandisi Salvatory Rweyemamu (kulia) alipotembelea kiwanda hicho
 Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Maendeleo  ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha (wa pili kulia) akimsikiliza Meneja Mauzo wa kiwanda cha TBL cha Arusha Davis Deogratius (kushoto)alipotembelea kiwanda hicho ,wengine kwenye picha  ni  Maofisa  wa Meneja wa Kiwanda 
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha (wa kutoka kushoto) akifuatilia kwa makini mada kuhusu zao la Shayiri linalotumiwa katika uzalishaji kwa  wa bia  wakati alipofanya ziara   kwenye kiwanda cha TBL  mkoani Arusha,kushoto ni Meneja Uzalishaji wa kiwanda hich Mhandisi Salvatory Rweyemamu. 
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha na ujumbe wake (wa pili kutoka kushoto) akimsikiliza Meneja wa Vifungashio (Packaging Manager) wa kiwanda cha TBL cha Arusha  Arusha,Joseph Mwaikasu katika ziara aliyoifanya kiwandani hapo.
Posted by MROKI On Tuesday, March 15, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo