Nafasi Ya Matangazo

March 02, 2016

Msanii wa Kizazi Kipya "Inno Biz" kutoka Jijini Mwanza, ameachia Wimbo Mpya. Wimbo huo Umepokelewa vizuri Jijini Mwanza na tayari umeanza kutambulishwa katika Radio mbalimbali za Jijini Mwanza.

Wimbo huo unaitwa "NI MZURI" na umepikwa na Producer  P-Sila, Studio ikiwa ni Acute Music ya Jijini Mwanza.

"Audio ya ngoma hii imepokelewa vizuri Jijini Mwanza na Mikakati niliyonayo ni kui-push zaidi kote nchini, kabla ya kuanza kutengeneza Video yake ili kuwapa burudani mashabiki zangu wote kwa maana ya wale wa Audio na Video". Anasema Inno Biz.
Pakua na Sikiliza Wimbo huo hapa chini.
Posted by MROKI On Wednesday, March 02, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo