Diwani wa Kata ya
Vigwaza Wilaya ya Bagamoyo,Mkoani Pwani, Mohsin Bharwani (katikati) na Mwenyekiti wa Kijiji
cha Kidogozero, Ali Mwanga (kushoto) na Mtendaji wa Kata hiyo, Masukuzi
Masukuzi, wakisikiliza
maoni ya wananchi baada ya kukabidhi msaada wa vifaa vya mradi wa maji toka Mto Ruvu
vyenye thamani ya sh. milioni 5 kwa ajili ya kusaidia wanafuzi wa Shule ya
Msingi Kidogozero.
Mkazi wa Kidongozero akizungumza katika mkutano huo.
Diwani wa Kata ya Vigwaza wilayani Chalinze, Mohsin Bharwani, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kwazoka, wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana alipowatembelea kusikiliza kero zao.
Diwani
wa Kata ya Vigwaza wilayani Bagamoyo, Mkoani Pwani, Mohsin Bharwani (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Kijiji cha Kidogozero, Ali
Mwanga, msaada wa vifaa vya mradi wa maji toka Mto Ruvu vyenye thamani ya sh.
milioni 5 ili kusaidia wanafuzi wa Shule ya Msingi Kidogozero. Katikati
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Hilda Ngakuka.
Diwani wa Kata ya
Vigwaza wilayani Chalinze, Mohsin Bharwani, akizungumza na wananchi wa Kijiji
cha Kwazoka, wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana alipowatembelea kusikiliza kero zao.
Mwenyekiti wa
Kijiji cha Kidogozero, Ali Mwanga akizungumza baada ya msaada wa vifaa vya
mradi wa maji toka mto Ruvu vyenye thamani ya Sh.milioni 5 vilivotolewa na
Diwani wa Kata ya Vigwaza, Mohsin Bharwani (kushoto) kwa ajili ya kusaidia wanafuzi wa Shule ya Msingi Kidogozero iliyopo wilayani Bagamoyo Mkoa wa
Pwani jana.
Diwani wa Kata ya
Vigwaza Mji mdogo wa Chalinze Wilayani bagamoyo, Mohsin Bharwani
(kushoto),akikagua mtaro utakaopitisha bomba la maji toka mto Ruvu hadi Shule
ya Msingi Kidogozero,
baada y kukabidhi vifaa vya mradi huo vyenye thamani ya Sh. milioni tano jana.
0 comments:
Post a Comment