Nafasi Ya Matangazo

March 09, 2016

Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 25 kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyoyahusisha magari matatu katibyao ni daladala Toyota DCM linalofanya safari zake kati ya Gongo la Mboto na Ubungo Mawasiliano (Simu 2000) na malori mawili ya mizigo moja la Mchanga na lingine lililobeba Ng'ombe.

Ajali hiyo ilitokea leo majira ya saa 11 alfajiri katika eneo la Tabata Matumbi katika barabara ya Mandela Jijijini Dar es Salaam na kuyahusisha magari hayo matatu ambapo DCM na lori la mchanga yakitokea Buguruni kuelekea Ubungo na lori la Ng'ombe likitoka Ubungo kwenda Buguruni.

Majina ya Majeruhi na waliopoteza misha haya hapa. 


Posted by MROKI On Wednesday, March 09, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo