Meneja wa kiwanda cha bia cha Dar es Salaam cha TBL ambacho kiko chini ya TBL Group ,Calvin Martin (kulia) akitoa maelezo kwa mtaalam ya JICA ya Japan tawi la Tanzania, Isao Akilio (katikati) juu ya uzalishaji wa bia mbalimbali zinanazozalishwa katika kiwanda hicho wakati maafisa wa JICA walipopofanya ziara ya kikazi kiwandani hapo. Kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Uzalishaji wa TBL Charles Mkondola.
Meneja kiwanda cha bia cha TBL cha Dar es Salaam ambacho kiko chini ya kampuni ya TBL Group ,Calvin Martin ( watatu kutoka kulia) akitoa maelezo kuhusiana na uzalishaji wa bia unavyofanyika kwa baadhi ya maafisa wa JICA Tanzania, wakati walipotembelea kiwanda hicho Ilala Dar es Salaam
Baadhi ya maafisa kutoka JICA Tanzania wakisoma wakiangalia kwa umakini hatua za uzalishaji wakati walipofanya ziara ya kikazi kwenye kiwanda cha bia kilichopo Ilala Dar es Salaam.
Afisa Mwandamizi wa uzalishaji wa Kampuni ya bia Tanzania Charles Mkondola akitoa maelezo kwa Mshauri wa Mipango wa JICA Tanzania, Jiro Makimoto wakati maafisa wa JICA walipofanya ziara kwenye kiwanda cha kutengenezeza bia cha Ilala jijini Dar es Salaam
Maofisa wa Kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Maofisa wa JICA Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukamilika kwa ziara ya kikazi ya maofisa wa JICA kutembelea kiwanda cha bia cha Ilala.
Maofisa wa Kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Maofisa wa JICA Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukamilika kwa ziara ya kikazi ya maofisa wa JICA kutembelea kiwanda cha bia cha Ilala
0 comments:
Post a Comment