Mtaalamu wa Matairi kutoka
Kampuni ya TBL Group, Peter Muthee, akiwalezea Maofisa wakaguzi
wa Jeshi la Polisi Kikosi Usalama Barabarani jinsi ya kutambua
matairi yaliyo na athari za kiusalama wakati wa mafunzo maalumu kwa maofisa hao
yaliyofanyika jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki.
Maofisa wa polisi kutoka
kitengo cha usalama barabarani wakibadilishana mawazo na mtaalamu wa
matairi kutoka TBL wakati mafunzo maalumu kwa maofisa hao yaliyofanyika
jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki.
Mkufunzi wa madereva kutoka
Kampuni ya Bia TBL, Hubert Kubo akizungumza na Maofisa Wakaguzi
wa Jeshi la Polisi Kikosi Usalama Barabarani wakati wa mafunzo
maalumu kwa maofisa hao yaliyofanyika jijini Dar es Salam mwishoni mwa
wiki.
Afisa wa polisi Kikosi Usalama
Barabarani Smax Ibrahim akitoa mada juu ya usalama wakati wa mafunzo hayo
yaliyofanyika jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki
Mkurugenzi wa Mafunzo wa TBL
Group,Gaspar Tesha akitoa mada wakati wa mafunzo hayo
Katika mafunzo hayo
yatakayofanyika mikoa mbalimbali polisi pia walishiriki zoezi la kufundisha
zoezi la ukaguzi wa magari kama wanavyoonekana wakiangalia mmoja wa
wafanyakazi wa kampuni hiyo akikagua gari.
0 comments:
Post a Comment