Waziri
wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo, akiongoza kikao kilichoshirikisha
watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na kampuni ya Mtibwa Sugar Estates
Ltd. Profesa Muhongo aliitaka kampuni
hiyo kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme
ili kukidhi mahitaji yake zaidi.
Waziri
wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (mbele) akiongoza kikao kilichoshirikisha
watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na kampuni ya Mtibwa Sugar Estates
Ltd. Profesa Muhongo aliitaka kampuni
hiyo kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme
ili kukidhi mahitaji yake zaidi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa
akieleza jambo katika kikao hicho.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini -
Madini, Prof. James Mdoe
(kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Nishati na Madini – Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Palangyo (kulia)
wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa
Mtibwa Sugar Estates Ltd, Nassor Seif (hayupo pichani)
Katibu Mkuu
wa Wizara ya Nishati na Madini, Prof. Justin Ntalikwa (kulia)
akibadilishana mawazo na na Mkurugenzi
Mtendaji wa Mtibwa Sugar Estates Ltd, Nassor Seif (kushoto) kabla ya kuanza kwa
kikao hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtibwa Sugar
Estates Ltd, Nassor Seif akielezea shughuli zinazofanywa na kampuni ya Mtibwa
Sugar Estate Ltd.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) Mhandisi Felchesmi Mramba akisisitiza jambo katika kikao
hicho.
0 comments:
Post a Comment