Mafundi wa DAWASCO wakiendelea na Kazi ya kutoa maji kabla ya kufanya maungio eneo la Wazo-Tegeta jijini Dar es Salaan leo. Kazi hiyo ya kuunganisha maji imepelekea kukosekaba kwa huduma ya maji safi katika maeneo kafhaa ya jiji la Dar es Salaam na mji wa Bagamoyo na vijiji vyake kwa simu mbili ya leo una kesho.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO, Mhandisi Cyprian Luhemeja akiongea na waandishi wa habari na kutoa ufafanuzi juu ya shughuli ya kuunganisha bomba inayoendelea katika eneo la Wazo-Tegeta jijin Dar es Salaam leo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco, Mhandisi Cyprian Luhemeja (kulia) akisikiliza maelekezo kutoka kwa mafundi na wasimamizi wa kazi.
0 comments:
Post a Comment