Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard
Kalemani (wa tatu kulia) akiangalia baadhi ya mitambo inayotumika katika
shughuli za uzalishaji dhahabu katika
mgodi wa Busolwa mkoani Geita wakati alipofanya ziara katika mgodi huo .
Wa kwanza kulia ni mmiliki wa mgodi huo, Baraka Ezekiel.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard
Kalemani (wa pili kulia) akimsikiliza mmoja wa wananchi wanaozunguka
mgodi wa dhahabu wa Busolwa mkoani Geita wakati alipofanya ziara katika mgodi
huo ili kuangalia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika mgodi huo.
Baadhi
ya mitambo inayotumika katika shughuli za uzalishaji dhahabu katika mgodi wa Busolwa mkoani Geita unaomilikiwa
na Baraka Ezekiel.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard
Kalemani (katikati) akiwa na watendaji mbalimbali kutoka Wizara ya
Nishati na Madini, Shirika la Umem e nchini (TANESCO), Wakala wa Ukaguzi wa
Madini Tanzania (TMAA), Wakala wa Nishati Vijijini (REA)na Shirika la Madini la
Taifa (STAMICO) wakati wa kikao chake na wakandarasi wanaosambaza umeme
vijijini (hawapo pichani) kilichofanyika mkoani Geita .
0 comments:
Post a Comment