Mganga
Mkuu wa Jiji la Arusha,Dk Bakari Salum akifungua mkutano wa Wasaa wa
Mazingira(Earth Hour City Challenges)kwa watumishi wa
halmashauri ya Jiji la Arusha unaowajengea uwezo kuweka mipango
inayoendana na mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika kwenye hotel ya
Palace jijni Arusha kushoto ni Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika
la Utunzaji wa mazingira duniani(WWF- Tanzania)Dk Teresia Olemako
Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa mazingira
duniani(WWF- Tanzania)Dk Teresia Olemako akizungumza kwenye mkutano wa
Wasaa wa Mazingira(Earth Hour City Challenges)
Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa Jiji la Arusha,Nteghenjwa Hoseah akiwasilisha
mada ya namna Jiji hilo lilijipanga kuhakikisha linakua safi kwa
kushirikiana na wadau na kulifanya kuwa kivutio cha watalii na wegeni
wengine.
Watumishi
wa halmashauri ya Jiji la Arusha wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa
zikitolewa zenye lengo la kulifanya Jiji kuwa la mfano barani Afrika.
Watumishi wa halmashauri ya Jiji la Arusha wakifatilia kwa makini mada
Afisa Mawasiliano wa WWF,Michael Bwoma (kushoto)akifatilia kwa makini wengine ni waandishi wa habari mkoani Arusha.
0 comments:
Post a Comment