Nafasi Ya Matangazo

December 24, 2015

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akimbebesha ndoy maji mmoja wa wakazi katika eneo la Shabaha mara baada ya kuzindua mradi huo.


Mkuu w mkoa Makala akifungua maji ktika moja ya Kilula katka eneo la Shbh wilaya ya Moshi vijijini.






Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi w mradi wa maji katik eneo la Shbaha wilaya ya Moshi vijijini.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ,Shrry Raaymond akizungumza katika uzinduzi huo.


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjni Moshi,MUWSA,Joyce Msiru  akitoa taarifa juu ya utekelezaji wa mradi wa maji katika eneo la Shabaha ambao umetumia siku 25 hadi kukamilika kwake.


Baadhi ya Viongozi wa MUWSA,kutoka kushoto ni Mkaguzi wa ndani wa MUWSA,Benson Maro,Meneja rasilimali watu Michael Konyaki na Meneja ufundi ,Mhandisi Patrick Kibasa.



Diwani wa kata ya Mabogini ,Emnuel Mzava akizungumza wkati wa uzinduzi wa mradi wa maji katia eneola Shabaha lililopo katika kata yake.


Makamu Mwenykiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya MUWS,Profesa Faustine Bee akifanya utamburisho wa  wageni mbalimbali waliofika katika eneo la Shabaha kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa maji.


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjni Moshi,MUWSA,Joyce Msiru  akikabidhi taarifa y utekelezaji wa mradi huo kwa Mkuu wa mkoa wa Kilimnjaro,Amosi Makala aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mradi huo wa maji.


Wafanyakazi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Mosi,MUWSA,wakifurahi mara baada ya kukamilisha mradi wa maji katiika eneo la Shabaha.


Baadhi ya wajumbe wa Bodiya Wakuugenzi ya MUWSA,kutoka kulia ni Hajira Mmambe,Elizabeth Minde,na Mhandisi Alfedy Shayo.


Baadhi ya viongozi walifika kwa ajili ya uzinduzi wa mradi huo,kutoka kushoto ni Mwenykiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila,Mbunge wa Moshi mjini na mjumbe wa bodii ya Muwsa ,Jafary Michael wakiwana Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi MUWSA,Sharry Raymond.

Mkuu wa wilaya y Moshi,Novatus Makunga akizungumza wkati wa uzinduzi huo.
Mbunge wa Jibo la Moshi mjini,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo.
Kikundi cha Ngoma cha Msnja kikitumbuiza wakati wa  uzinduzi huo.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA)
Posted by MROKI On Thursday, December 24, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo