Nafasi Ya Matangazo

November 06, 2015



Hapa ni katika ukumbi wa Flomi Hotel mjini Morogoro ambako leo Ijumaa Novemba 06,2015 kunafanyika mkutano mkuu wa wanachama wa Muungano wa Klabu za waandishi wa habari Tanzania-UTPC wanakutana kujadili mambo mbali mbali ili kuboresha taaluma ya uandishi wa habari nchini Tanzania.Mkutano huo wa siku mbili unakutanisha wenyeviti wa klabu za waandishi wa habari Tanzania,makatibu na waweka hazina.Katika mkutano huo pia utafanyika uchaguzi wa rais wa UTPC na wajumbe wa bodi wa UTPC-Fuatilia picha hapa chini kinachoendelea ukumbini.

Kushoto ni mkurugenzi wa UTPC Abubakar Karsan,akifuatiwa na makamu wa rais UPC Jane Mihanji,rais wa UTPC Kenneth Simbaya na mwenyekiti wa kamati ya maadili UTPC Deo Nsogolo

Mkurugenzi wa UTPC Abubakar Karsan akiwasalimia wajumbe wa mkutano huo. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA


Kauli mbiu ya mkutano huo ni "Tumia Klabu za waandishi wa habari kwa maendeleo ya mkoa wako"

Mkutano unaendelea

Rais wa UTPC anayemaliza muda wake Kenneth Simbaya akifungua mkutano

Wajumbe wa mkutano wakiwa ukumbini

Mkutano unaendelea

Mkurugenzi wa UTPC Abubakar Karsan akizungumza ukumbini

Mkutano unaendelea

Rais wa UTPC Kenneth Simbaya akikabidhi hati ya usajili ya Katavi Press Club kwa mwenyekiti wa klabu hiyo Walter Mguluchuma

Wajumbe wakiwa ukumbini

Mkutano unaendelea

Wajumbe wakiwa ukumbini

Mkutano unaendelea

Tunafuatilia kinachoendelea......

Wajumbe wa mkutano wakiwa ukumbini

Mkutano unaendelea

Mkutano unaendelea

mkutano unaendelea

Wajumbe wakiwa ukumbini

Mkutano unaendelea

Tunafuatilia kinachojiri ukumbini

Mkutano unaendelea

Mkutano unaendelea

Mkutano unaendelea

Picha zote na Kadama Malunde na Shomari Binda-Malunde1 blog
Posted by MROKI On Friday, November 06, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo