Rais
Kikwete na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
wakionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika Uwanja wa Demokrasia wa
Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi
rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar
Jumapili Septemba 13, 2015
Mgombea
Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia
gharika hiyo ya watu katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za
chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13,
2015.
Utenzi
ukisomwa kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja
wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea
Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Sehemu
ya gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Sehemu ya gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti
mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala
za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015. PICHA ZAIDI >>>FK MATUKIO
0 comments:
Post a Comment