Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa hadhara wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ilongero,
Jimbo la Singida Kaskazini, leo Septemba 13, 2015. katika hotuba yake,
Mh. Lowassa amesema iwapo atapata ridhaa ya wananchi kuwa Rais wa
Tanzania, ataanzisha viwanda vya kusindika zao la alizeti, ili wakulima
wa zao hilo waweze kufaidika na pia atakabiliana na kero zote za Mkoa wa
Singida kwa ujumla. Mh. Lowassa, kesho Septemba 14, 2015 ataendelea na
ziara yake ya Kampeni katika Mkoa Shinyanga, baada ya leo kumaliza
katika Mkoa wa Singinda, kwenye Majimbo ya Manyoni Magharibi, Singida
Kaskazini, Iramba Mashariki na Iramba Magharibi.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa UKAWA kupitia
CHADEMA katika Jimbo la Singida Kaskazini, David Djumbe, wakati wa
Mkutano wake wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Ilongero, Jimbo la Singida Kaskazini, leo Septemba 13, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, baadhi ya wagombea wa Udiwani wa maeneo
mbalimbali ya Jimbo la Singida Kaskazini, wakati wa Mkutano wake wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ilongero, Jimbo la
Singida Kaskazini, leo Septemba 13, 2015.
Hawa wote wameahidi kuwapakura. PICHA ZAIDI>>>FK MATUKIO
0 comments:
Post a Comment