Nafasi Ya Matangazo

September 01, 2015

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Songea Mjini, kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015. Picha na Othman Michuzi, Ruvuma.

Maelfu ya wakazi wa Songea wajitokeza kumsikiliza Mgimbea wa Chadema, Edward Lowassa.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015, ambako kumefanyika Mkutano wa Kampeni zake anazoendelea nazo kwa nchi nzima. Mh. Lowassa amepata mapokezi makubwa sana mkoani hapo, akitokea Mkoa wa Njombe.
Posted by MROKI On Tuesday, September 01, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo