Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha la Jahazi, Martin Mhando (kushoto), akizungumza leo jijini Dar es Salaam kuhusu tamasha hilo kubwa la jahazi kuhusu
tamasha la nchi za jahazi litakalofanyika kuanzia Julai 18 hadi 26 mwaka
huu Ngome Kongwe mjini Zanzibar.. Kulia ni Mjumbe wa bodi wa Tamasha la Jahazi, Fatma Allo.
Mjumbe
wa bodi wa Tamasha la Jahazi, Fatma Allo (kulia), akizungumza katika
mkutano na wadau wa filamu na wanahabari Dar es Salaam leo jioni kuhusu
tamasha la nchi za jahazi litakalofanyika kuanzia Julai 18 hadi 26 mwaka
huu Ngome Kongwe mjini Zanzibar.Kutoka kushoto ni Meneja wa Tamasha,
Daniel Nyalusy na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha la Jahazi, Martin
Mhando.
Meza Kuu. Kutoka kushoto ni Mratibu John Mchaina 'Simple', Mratibu Rehema Jonas, Mjumbe wa Bodi, Mahabobo Champs, Daniel Nyalusy, Ofisa Mtendaji Mkuu, Martin Mhando na Mjumbe wa Bodi, Fatma Allo.
Baadhi ya wasanii watakaotoa burudani siku hiyo ya tamasha.
Wanamuziki na wasanii wa filamu wakiwa kwenye mkutano huo wa kutambulisha tamasha hilo.
Mtayalishaji wa muziki, Cadrake Touch (kushoto), Msanii wa filamu Mzee Chilo na mwanamuziki Elias Barnaba wakiwa kwenye mkutano huo.
Wanahabari na wadau wa filamu wakiwa kwenye mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment