Mkurugenzi Mtendaji 8020 Fashion na Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao.Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation Mama Shekhar Nasser
Washiriki wakimsikiliza Kwa Makini Mentor Shamim Mwasha aliyetoa Mada kwenye semina hiyo Namna ya Kutumia Mitandao ya Kijamii kwa Manufaa ya Maisha yetu ya Kila siku na Kucha Kupoteza Muda Kwenye Mitandao ya Kijamii Bila Manufaa yoyote.
Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi ambayo itamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwondolea umasikini wa kipato na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha yake. Taasisi hii limekwishazindua mradi wenye kubeba bendera yake, Manjano Dream-Makers, mradi unaokusudia kuzaa kizazi kipya cha wajasiriamali wanawake kwa kutumia kipodozi cha LuvTouch Manjano tu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd Mama Shekhar Nasser AkitoaMafunzo kwa njia Vitendo kwa Washiriki wa Semina hiyo yenye lengo la Kumsaidia Mwanamke wa Kitanzania Kudhubutu Kujikita Kwenye Biasha ra hususani Kwa Kutumia Vipodozi Pekee vinavyozalishwa na Shear Illusion vya Luv Touch Manjano.
Washiriki wakiwa kwenye Picha ya Pamoja Mra Baada ya Kumaliza Mafunzo kwa njia ya Vitendo.
Washiriki Wakiwa pamoja mara baada ya Kumaliza Mafunzo kwa Njia ya Vitendo.
Washiriki Wakiwa pamoja mara baada ya Kumaliza Mafunzo kwa Njia ya Vitendo.
Lengo la Mradi huo ni kuwajengea Uwezo wanwake wa Kitanzania Kupitia Bidhaa bidhaa za Vipodozi vya Luv touch Manjano kujisimamia na Kujikita Vizuri kwenye Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara kwa lengo la Kumjengea uwezo Mwanamke wa Kitanzania
0 comments:
Post a Comment