Basil Mramba (kushoto) na Daniel Yona wakiwa Mahakamani
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam, imewatia hatiani na kuwahukumu kifungo cha miaka 3 kila mmoja jela aliyekuwa Waziri wa zamani wa Wizara ya Fedha, Basil Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na
Madini, Daniel Yona huku ikimwachia huru Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Gray
Mgonja walikuwa wanakabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya Shilingi bilioni 11.7.
Mgonja amechiwa huru baada ya Mahakama hiyo kushindwa kumtia hatiani. Mbali na kifungo hicho cha miaka 3 jela pia Mramba na Yona wanatakiwa kulipa faini ya shilingi mioni 5 kila mmoja.
Endelea kusoma Father Kidevu Blog kwa taarifa kamili.
0 comments:
Post a Comment