Mwenyekiti wa taasisi ya ACCT,Milton Nyerere(kushoto) na Mkuu wa Chuo
cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Masika wakisaini hati za makubaliano
ambayo itatoa fursa kwa mafundi wengi kunolewa na kuweza kufanya kazi za
ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
Mwenyekiti wa taasisi ya ACCT,Milton Nyerere(kushoto) na Mkuu wa Chuo
cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Masika wakibadishana hati za
makubaliano ambayo itatoa fursa kwa mafundi wengi kunolewa na kuweza
kufanya kazi za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
Katibu Mtendaji wa Umoja wa Makandarasi Wazalendo(ACCT)Angela Joseph akizunguza wakati wa hafla hiyo.
Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Mgaya akizungumza jambo juu
ya kuwawezesha Mafundi Mchundo na Mafundi Sanifu kufanya kazi kwa
ubora.Mafunzo yatatolewa katika chuo hicho.
0 comments:
Post a Comment