Baadhi ya wanachama waliojitokeza kuomba nafasi ya
kuwania kuwa wajumbe wa Bodi ya Saccos hiyo wakiwa wameshika karatasi
zeneye majina yao.
Secretariety ya mkutano huo wakihesabu kura kwa ajili ya
kupata washindi katika uchaguzi huo ambapo Godlisten Kombe alifanikiwa
kutetea kiti chake baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti huku Kilasela
Ngalauo akifanikiwa kushinda nafasi ya makamu mwenyekiti.
Wengine waliochaguli wa ni Chritina Lyamuya,January Malulya,Marcelina Kyara,Robert Shauri na Robert Materu.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini,
Wengine waliochaguli wa ni Chritina Lyamuya,January Malulya,Marcelina Kyara,Robert Shauri na Robert Materu.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini,
Mwenyekiti
wa Bodi ya Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini,Godlisten Kombe
akizungumza wakati wamkutano maalumu wa uchaguzi wa viongozi wa Saccos
hiyo pamoja na wajumbe wa bodi.
Baadhi
ya wanachama wa Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini wakiwa katika
mktano huo uliofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika na
Biashara (MUCO).
Meneja mkuu wa Chama cha Akiba na Mikopo cha walimu wilaya ya Moshi Vijijini,Bosco Simba akizungumza wakatiwamkutano huo.
Baadhi ya wanachama wa Saccos hiyo ambao ni walimu wanaofanya kazi wilaya ya Moshi vijijini.
Afisa Ushirika wilaya ya Moshi vijini Fausta Malulya akizungumza katika mkutano huo wa uchaguzi ,
Mmoja wa wanachama wa Saccos hiyo akiomba ufafanuzi wa jambo fulani wakati wa mkutano huo wa uchaguzi.
0 comments:
Post a Comment