Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata,
akifurahia jambo, wakati akizungumza kwenye semina ya siku moja iliyoan daliwa
na Mfuko huo kwa kushirikiana naye, maalum kwa wanamitindo na wabunifu mavazi
na kufanhyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Jumapili Mei.
Wanamitindo, wakiwa wamejipanga kwenye foleni huku wakiwa na
fomu zao za kujiunga na Uanachama wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kupitia mpango
wa hiari, (PSS), tayari kupigwa picha za kuwa wanachama rasmi.
Wanamitindo wakiwa kwwenye semina hiyo ya mfuko wa Pensheni wa PSPF
Mabalozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mrisho Mpoto(kulia) na Flaviana
Matata, wakijadiliana jambo huku Mbunifu na Mwanamitindo mwingine nguli
hapa nchini, Zuli Remtula, kushoto, akishuhudia
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
Abdul Njaidi, (kulia), akizungumza jambo na Afisa Uhusiano wa Mfuko huo,
Colleta Mnyamani, (katikati) na Afisa Masoko Magira Werema
Afisa Masoko wa PSPF, Magira Werema, akitoa maelezo ya kina
kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF
0 comments:
Post a Comment