Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein
akiwasha Mwenge wa uhuru leo mjini Songea katika Uwanja wa Majimaji
ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2015
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali
Mohamed Shein akihotubia leo mjini Songea wakati wa sherehe za uzinduzi
wa Mbio za Mwenge wa uhuru zilizofanyika kitaifa mkoani Ruvuma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali
Mohamed Shein (kushoto)akimkabidhi Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa
Juma Khatibu Chum (kulia) Mwenge wa uhuru leo mjini Songea baada ya
uzinduzi wa mbio hizo Kitaifa mkoani Ruvuma.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kwa mwaka 2015 Juma Khatibu Chum(kushoto)
akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kulia) Mwenge wa
uhuru leo mjini Songea baada ya uzinduzi wa mbio hizo Kitaifa mkoani
Ruvuma.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kushoto) akimkabidhi Mkuu wa
Wilaya ya Songea Profesa Norman Sigalla King(kulia) Mwenge wa Uhuru
uhuru kwa ajili ya kuanza mbio wilayani humo baada ya uzinduzi ulifanywa
leo mjini Songea na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali
Mohamed Shein akihotubia leo mjini Songea.
Wananchi wa Mji wa Songea na Vijiji jirani na Mjihuo wakiwa katika uwanja wa Majimaji Mkoa wa Ruvuma kushuhudia uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa uliowashwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Maafisa mbali mbali wakiwa katika uzinduzi wa Mbio za mwenge kitaifa uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika Uwanja wa Majimaji Songea Mkoa wa Ruvuma
nice blog
ReplyDelete