Ankal akiwa na MD wa Michuzi Media Group (kulia kwake) pamoja
na kikosi kazi cha Team Michuzi Production chini ya Production Manager
Barbra Kilugira (wa tatu kushoto) ambayo ilipata heshima ya kurekodi
mnuso wa kihistoria wa Tanzania Bloggers Network (TBN) Meet and greet
Party katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia
March 1, 2015. Mnuso huu ulifanikiwa sana kwa udhamini mkubwa wa
VODACOM TANZANIA (wadhaini wakuu), NMB, COCACOLA, RAHA.COM na SERENA
HOTEL.
SAFARI ZA IRINGA ZAREJEA, TWIGA MILES KUTUMIKA KUKATA TIKETI
40 minutes ago
0 comments:
Post a Comment